Swali: Je, wanja ni najisi?

Jibu: Ni kipi kinachounajisi? Lau ungelikuwa ni najisi usingelipakwa machoni. Ni twahara. Isipokuwa ukipatwa na najisi ndio utakuwa umenajisika na haisemwi kuwa ni najisi. Vinginevyo vitu vya ardhini asli ni utwahara isipokuwa pale vitavyopatwa na najisi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-8.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020