Swali: Je, wanja ni najisi?
Jibu: Ni kipi kinachounajisi? Lau ungelikuwa ni najisi usingelipakwa machoni. Ni twahara. Isipokuwa ukipatwa na najisi ndio utakuwa umenajisika na haisemwi kuwa ni najisi. Vinginevyo vitu vya ardhini asli ni utwahara isipokuwa pale vitavyopatwa na najisi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-8.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, wanja ni najisi?
Jibu: Ni kipi kinachounajisi? Lau ungelikuwa ni najisi usingelipakwa machoni. Ni twahara. Isipokuwa ukipatwa na najisi ndio utakuwa umenajisika na haisemwi kuwa ni najisi. Vinginevyo vitu vya ardhini asli ni utwahara isipokuwa pale vitavyopatwa na najisi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-8.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/wanja-ni-najisi/