Swali: Msemo kwamba wanyama wameumbwa kabla ya mwanadamu kwa miaka milioni mbili?
Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Swali: Tumeyasoma haya shuleni.
Jibu: Bora ni wewe kusema“Allaah ndiye mjuzi zaidi”:
سُبْحَانَكَ لَا عِلْمَ لَنَا إِلَّا مَا عَلَّمْتَنَا
“Utakasifu ni Wako hatuna elimu isipokuwa Uliyotufunza.”[1]
Haya yalisemwa na Malaika.
[1] 02:32
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22704/ما-صحة-ان-الحيوانات-خلقت-قبل-الانسان
- Imechapishwa: 03/08/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)