Swali: Mwanamke afanye I´tikaaf wapi anapotaka kufanya I´tikaaf?
Jibu: Mwanamke anapotaka kukaa I´tikaaf basi afanye hivo msikitini maadamu hakuna makatazo ya Kishari´ah. Iwapo kutakuwa kuna makatazo ya Kishari´ah basi asifanye I´tikaaf.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (20/163)
- Imechapishwa: 15/06/2017
Swali: Mwanamke afanye I´tikaaf wapi anapotaka kufanya I´tikaaf?
Jibu: Mwanamke anapotaka kukaa I´tikaaf basi afanye hivo msikitini maadamu hakuna makatazo ya Kishari´ah. Iwapo kutakuwa kuna makatazo ya Kishari´ah basi asifanye I´tikaaf.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (20/163)
Imechapishwa: 15/06/2017
https://firqatunnajia.com/wanawake-wanafanya-itikaaf-wapi/