Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kupiga makofi katika sikukuu za ndoa na sherehe ili kutangaza…
Jibu: Hapana. Haijuzu kupiga makofi. Ni kujifananisha na makafiri. Kinachojuzu ni wanawake kupiga makofi katika swalah pale ambapo imamu anasahau. Katika hali hiyo atamzindua imamu kwa kupiga makofi. Hili ndio lililothibiti kwa dalili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-25.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kupiga makofi katika sikukuu za ndoa na sherehe ili kutangaza…
Jibu: Hapana. Haijuzu kupiga makofi. Ni kujifananisha na makafiri. Kinachojuzu ni wanawake kupiga makofi katika swalah pale ambapo imamu anasahau. Katika hali hiyo atamzindua imamu kwa kupiga makofi. Hili ndio lililothibiti kwa dalili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-25.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/wanawake-kupiga-makofi-katika-sikukuu-na-herehe/