Swali: Je, inajuzu kusema uongo kwa ajili ya maslahi ya Da´wah?

Jibu: Hapana, uongo haujuzu kamwe. Hakuna maslahi ya Da´wah. Bali ndani yake kuna madhara ya Da´wah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-25.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020