Swali: Vipi akitumia fedha zaidi ya pete?
Jibu: Sijui ubaya wowote wa hayo. Hata hivyo bora ni kuacha kufanya hivo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitumia pete moja. Vivyo hivyo Maswahabah walitumia pete moja kwenye kidole kidogo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24039/حكم-التختم-باكثر-من-خاتم-فضة-للرجال
- Imechapishwa: 24/08/2024
Swali: Vipi akitumia fedha zaidi ya pete?
Jibu: Sijui ubaya wowote wa hayo. Hata hivyo bora ni kuacha kufanya hivo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitumia pete moja. Vivyo hivyo Maswahabah walitumia pete moja kwenye kidole kidogo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24039/حكم-التختم-باكثر-من-خاتم-فضة-للرجال
Imechapishwa: 24/08/2024
https://firqatunnajia.com/wanaume-kutumia-fedha-nyingi/