Swali: Vipi akitumia fedha zaidi ya pete?

Jibu: Sijui ubaya wowote wa hayo. Hata hivyo bora ni kuacha kufanya hivo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitumia pete moja. Vivyo hivyo Maswahabah walitumia pete moja kwenye kidole kidogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24039/حكم-التختم-باكثر-من-خاتم-فضة-للرجال
  • Imechapishwa: 24/08/2024