Shaykh ´Umar Falluutah (Rahimahu Allaah) alikuwa na ´Aqiydah na mfumo wa Salaf. Alikuwa akishikamana na yale yenye kutoka kwa Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na akitilia mkazo elimu na dalili. Alikuwa akifuata nyayo za Salaf na akichukia mifuko yote inayopingana na mfumo wa Salaf (Rahimahumu Allaah).

Mwandishi: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Marejeo: ar-Rihlah al-Hindiyyah, uk. 10
Tarjama: Firqatunnajia.com