Swali: Pindi tunapotahadharisha vitabu vilivyoandikwa na wenye ´Aqiydah iliyopidwa, wanatumia hoja kwa kusema kwamba ´Allaamah Ibn Baaz alimshufaia miaka arobaini iliyopita wakati alipotaka kuuawa, na kwamba Idhaa´at-ul-Qur-aan iligawa tafsiri ya Qur-aan yake na kwamba vitabu vyake vilikuwa vikigawanywa kwenye madarasa. Vipi tutaraddi hili?
Jibu: Hii sio hoja. Ikiwa vina makosa, makosa ni yenye kurudishwa. Hao ambao unasema kuwa walimtetea walikuwa hawajui yaliyomo. Kuhusiana na kwamba Ibn Baaz alimshufaia, ilikuwa ni uombezi katika jambo zuri; muislamu ni mwenye kuzuia mauaji. Ni uombezi katika jambo zuri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 15/07/2018
Swali: Pindi tunapotahadharisha vitabu vilivyoandikwa na wenye ´Aqiydah iliyopidwa, wanatumia hoja kwa kusema kwamba ´Allaamah Ibn Baaz alimshufaia miaka arobaini iliyopita wakati alipotaka kuuawa, na kwamba Idhaa´at-ul-Qur-aan iligawa tafsiri ya Qur-aan yake na kwamba vitabu vyake vilikuwa vikigawanywa kwenye madarasa. Vipi tutaraddi hili?
Jibu: Hii sio hoja. Ikiwa vina makosa, makosa ni yenye kurudishwa. Hao ambao unasema kuwa walimtetea walikuwa hawajui yaliyomo. Kuhusiana na kwamba Ibn Baaz alimshufaia, ilikuwa ni uombezi katika jambo zuri; muislamu ni mwenye kuzuia mauaji. Ni uombezi katika jambo zuri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
Imechapishwa: 15/07/2018
https://firqatunnajia.com/walikuwa-hawajui-yaliyomo-ndani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)