Swali: Mwanaume akiwagawia zamu wakeze watatu…
Jibu: Maoni ya karibu zaidi – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni kwamba hapana vibaya wakiridhiana. Haki ni ya kwao. Wakiridhiana haki ni ya kwao. Endapo kila mmoja wao akampa mwengine siku zake mbili, kila mmoja akampa siku tatu na wakaridhiana juu ya hilo, haki ni ya kwao. Kwa mfano baadhi ya wake wakawaambia wengine wachukue siku saba na wengine wachukue siku saba. Maana ni yenye kukaribiana.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23905/حكم-التراضي-في-القسمة-بين-الزوجات
- Imechapishwa: 30/05/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)