Swali: Ikiwa mwanaume ameoa wake watatu. Kila mke anamgawia usiku mmoja ambapo usiku wa nne anamgawia mmoja katika wao. Je, ni sahihi?

Jibu: Hapana, si sahihi kwa sababu anawapuuza wale wake wengine. Wagawanye usiku huo wa nne. Afanye hivo kwa ajili ya uadilifu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 28/07/2023