Wakati wa kuwasomea Ruqyah na du´aa za kinga watoto

Swali: Vipi mtu anawasomea Ruqyah na Du´aa za kinga watoto?Inakukuwa mara moja kwa siku au inakuwa asubuhi na jioni?

Jibu: Ni vizuri iwe asubuhi na jioni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015