Kufanya durusi binafsi kwa pesa

Swali: Je, inajuzu kuwapa durusi binafsi kwa wanafunzi wenye kuhitajia kwa kuchukua pesa?

Jibu: Ndio, ikiwa haliendi kinyume na nidhamu [ya nchi]. Ni sawa ikiwa haliendi kinyume na nidhamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015