Swali: Kuchinja katika ´Iyd-ul-Adhwhaa inakuwa baada ya swalah ya ´iyd moja kwa moja au inakuwa baada ya Khutbah?

Jibu: Inakuwa baada ya kumaliza kuswali. Hata kama lau ataenda nyumbani kwake na Imamu bado akawa anatoa Khutbah. Kwa sababu ni kama tulivosikia sio wajibu Imamu atoe Khutbah. Lau ataenda nyumbani kwake na kuchinja hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-6-7.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014