Swali: Nina ndugu na marafiki wanarejea kwa wanachuoni wakubwa inapokuja katika mambo madogo madogo ya ki-Fiqh. Ama inapokuja katika mambo ya fitina na mambo mepya hawarejei kwao. Je, niendelee kuwanasihi au niachane nao?
Jibu: Wanarejelewa wanachuoni juu ya kila kitu. Mifumo ndio kitu muhimu kuliko kila kitu kwa kuwa ni ´Aqiydah. Wanarejelewa wanachuoni juu ya kila kitu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-6.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Nina ndugu na marafiki wanarejea kwa wanachuoni wakubwa inapokuja katika mambo madogo madogo ya ki-Fiqh. Ama inapokuja katika mambo ya fitina na mambo mepya hawarejei kwao. Je, niendelee kuwanasihi au niachane nao?
Jibu: Wanarejelewa wanachuoni juu ya kila kitu. Mifumo ndio kitu muhimu kuliko kila kitu kwa kuwa ni ´Aqiydah. Wanarejelewa wanachuoni juu ya kila kitu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-6.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/wakati-wa-fitina-wanarejelewa-wanachuoni/