Swali: Yale yote ambayo Allaah aliwateremshia Mitume Yake ilikuwa kupitia ukatikati?
Jibu: Ndio, kupitia ukatikati wa Jibriyl (´alayhis-Salaam) ambaye amepewa kazi ya Wahy. Isipokuwa baadhi ya mambo hakika Allaah anaweza kumpa ilhamu Mtume Wake pasi na ukatikati wa Jibriyl.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18385
- Imechapishwa: 02/04/2021
Swali: Yale yote ambayo Allaah aliwateremshia Mitume Yake ilikuwa kupitia ukatikati?
Jibu: Ndio, kupitia ukatikati wa Jibriyl (´alayhis-Salaam) ambaye amepewa kazi ya Wahy. Isipokuwa baadhi ya mambo hakika Allaah anaweza kumpa ilhamu Mtume Wake pasi na ukatikati wa Jibriyl.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18385
Imechapishwa: 02/04/2021
https://firqatunnajia.com/wahy-kwa-njia-ya-ilhamu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket