Wachumba kutoka kwa kujificha

Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kutoka na mchumba wake kwa kujificha pasina familia yake kujua?

Jibu: Ikiwa ameshamuoa ndio. Ama ikiwa ni kabla ya kumuoa, mwanamke huyo sio Mahram wake na si halali kwake kufanya hivo.

Check Also

Kaoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ambaye hataki kuingia katika Uislamu

Swali: Nimeoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab kabla ya kuwa na msimamo, na nimepewa fatwa na baadhi …