3 Kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima,

nami natembea siku zote katika kweli yako.

4  Siketi pamoja na watu wadanganyifu,

wala siandamani na wanafiki,

5 ninachukia kusanyiko la watenda mabaya

na ninakataa kuketi pamoja na waovu.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Zaburi 26:03
  • Imechapishwa: 16/01/2020