Swali: Kuna vitabu vyenye kutahadharisha juu ya Khawaarij ili vitusaidie kutahadhari nao?
Jibu: Ndio. Kila kitabu kinachozungumzia kuhusu ´Aqiydah kimewatahadharisha. Miongoni mwavyo ni “al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah” cha Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah, “al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah” na vitabu vyengine vyenye kuzungumzia juu ya ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah. Vyote zinatahadharisha juu ya Khawaarij.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Kuna vitabu vyenye kutahadharisha juu ya Khawaarij ili vitusaidie kutahadhari nao?
Jibu: Ndio. Kila kitabu kinachozungumzia kuhusu ´Aqiydah kimewatahadharisha. Miongoni mwavyo ni “al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah” cha Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah, “al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah” na vitabu vyengine vyenye kuzungumzia juu ya ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah. Vyote zinatahadharisha juu ya Khawaarij.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20-%2024-10-1436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/vitabu-vyenye-kutahadharisha-khawaarij/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)