Yapo kwenye tafsiri za Qur-aan wakati unaposoma Qur-aan na kupitia kwenye [baadhi ya Aayah]. Hata hivyo kwa mfano Ibn Kathiyr na Ibn Jariyr [at-Twabariy] amefafanua majina na sifa. Tafuta kwenye vitabu vya tafsiri ya Qur-aan vyenye kuaminika, sio kwenye ya az-Zamakhshariy au wengine ambao wanapindisha maana ya sifa za Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
- Imechapishwa: 27/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket