Swali: Qur-aan na vitabu vilivyochanikachanika na ambavyo havitumiwi vinafanywa nini?
Jibu: Kurasa za Qur-aan na vitabu vyenye kuheshimiwa ambavyo ndani yake mna utajo wa Allaah au Hadiyth za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni sawa kuvifukia sehemu ambapo ni pasafi au kuvichoma moto.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/100-101)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Qur-aan na vitabu vilivyochanikachanika na ambavyo havitumiwi vinafanywa nini?
Jibu: Kurasa za Qur-aan na vitabu vyenye kuheshimiwa ambavyo ndani yake mna utajo wa Allaah au Hadiyth za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni sawa kuvifukia sehemu ambapo ni pasafi au kuvichoma moto.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/100-101)
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/vitabu-vya-dini-visivyotumiwa-vinafanywa-nini/