Ni wajibu kwa wanafunzi kuwabainishia watu kuwa vita kwa ajili ya [kupigania] nchi sio vita ambavyo ni sahihi. Mtu apigane kwa lengo ili neno la Allaah liweze kuwa juu na wakati huohuo apigane kwa ajili ya nchi kwa sababu ni nchi ya Kiislamu. Anaihami na maadui wake na maadui wa Uislamu. Ikiwa ni kwa nia hii ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/35)
  • Imechapishwa: 17/01/2023