Vipi Qadariyyah wamefanana na waabudia moto?

Swali: Qadariyyah ni waabudia moto wa ummah huu?

Jibu: Imepokelewa katika Hadiyth kadhaa. Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah na wengine wametaja kwamba kwa mkusanyiko wake zinapeana nguvu, kwa sababu wanakanusha baadhi ya matendo ya Allaah. Waabudia moto wamesema kuwa kuna waungu wawili na kwa ajili hiyo wamefanana na waabudia moto.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25067/لماذا-كانت-القدرية-مجوس-هذه-الامة
  • Imechapishwa: 31/01/2025