Vipi mtu atajua ni nani mlinganizi wa upotevu?

Swali: Vipi mtu atajua ni nani anayelingania katika upotevu?

Jibu: Mtu atazame Da´wah yao. Ikiwa wanalingania katika haki, ni walinganizi wa kheri. Ikiwa wanalingania katika batili, ni walinganizi wa upotevu. Ikiwa wanalingania katika Bid´ah, shirki na maasi, hawa ni katika walinganizi wa upotevu.

Check Also

Mwanamke wa Sunnah haolewi na mwanaume wa Bid´ah

Swali: Kuna mwanamke ni katika Ahl-us-Sunnah. Anataka kuolewa na mwanaume ambaye yuko na Bid´ah. Mwanamke …