al-Fawzaan kuhusu Malaika kutoingia kwenye nyumba yenye picha

Swali: Picha ikiwa katika chumba miongoni mwa vyumba vya nyumbani, je, Malaika hawaingii katika vyumba vingine visivyokuwa na picha?

Jibu: Kwa nini waingie kwenye vyumba vingine? Malaika hawaingii nyumba yote kikamilifu. Hii ndio dhahiri ya Hadiyth.

Check Also

Kuzunguma na mke kwa kutumia video camera

Swali: Je, inajuzu kuzungumza na mke wangu kwa njia ya simu au intaneti kwa sauti …