Swali: Vipi imani itakuwa imara na kuihesabu katika mwezi wa Ramadhaan?
Jibu: Imani inazidi kwa kukithiri ´amali njema, akaswali, funga, visimamo, akakumbusha, akalingania, akatoa swadaqah akafanya istighfaar – imani inazidi. Ama kuhusu kuifanyia hesabu ni juu yake kupigana Jihaad na nafsi yake kwa hesabu, yaani akawa anafanya ´amali kwa kutotaka pato lolote katika mambo ya kidunia, anataka kwa ´amali hizo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاء رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلًا صَالِحًا وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَدًا
“Mwenye kutaraji kukutana na Mola wake basi na atende vitendo vyema, wala asimshirikishe yeyote katika ´ibaadah ya Mola wake.” (18:110)
Anayetaka katika ´amali azifanyazo Allah pamoja na jengine, basi kashirikisha katika ´Ibaadah ya Mola wake. Fanya ´amali usitake jengine ila Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Allaah akulipe kwazo, akutakabalie, ajaalie ikawa ni sababu ya kuokoka kwako na Moto. Tunamuomba Allaah Ikhlaasw katika maneno na vitendo vyetu.
- Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Vipi imani itakuwa imara na kuihesabu katika mwezi wa Ramadhaan?
Jibu: Imani inazidi kwa kukithiri ´amali njema, akaswali, funga, visimamo, akakumbusha, akalingania, akatoa swadaqah akafanya istighfaar – imani inazidi. Ama kuhusu kuifanyia hesabu ni juu yake kupigana Jihaad na nafsi yake kwa hesabu, yaani akawa anafanya ´amali kwa kutotaka pato lolote katika mambo ya kidunia, anataka kwa ´amali hizo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاء رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلًا صَالِحًا وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَدًا
“Mwenye kutaraji kukutana na Mola wake basi na atende vitendo vyema, wala asimshirikishe yeyote katika ´ibaadah ya Mola wake.” (18:110)
Anayetaka katika ´amali azifanyazo Allah pamoja na jengine, basi kashirikisha katika ´Ibaadah ya Mola wake. Fanya ´amali usitake jengine ila Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Allaah akulipe kwazo, akutakabalie, ajaalie ikawa ni sababu ya kuokoka kwako na Moto. Tunamuomba Allaah Ikhlaasw katika maneno na vitendo vyetu.
Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/vipi-kuwa-na-imani-thabiti-katika-ramadhaan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)