Swali: Baadhi ya watu wanapokutana na wewe wanakuuliza “Vipi imani yako?”
Jibu: Ni jambo lisilokuwa na msingi. Badala yake akuulize “Vipi hali yako?”, “Vipi hali ya watoto?” Bora zaidi ni kuacha kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Baadhi ya watu wanapokutana na wewe wanakuuliza “Vipi imani yako?”
Jibu: Ni jambo lisilokuwa na msingi. Badala yake akuulize “Vipi hali yako?”, “Vipi hali ya watoto?” Bora zaidi ni kuacha kufanya hivo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/vipi-imani-yako/