Swali: Ni matakwa yepi yanayokusudiwa katika maneno ya Allaah (Ta´ala):
إِنَّمَا يُرِيدُ اللَّـهُ لِيُذْهِبَ عَنكُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَيْتِ وَيُطَهِّرَكُمْ تَطْهِيرًا
“Hakika si venginevyo Allaah anataka akuondosheeni uchafu, enyi watu wa nyumba [ya Mtume] na akutwaharisheni mtwaharike barabara.”? (33:33)
Jibu: Hapana, ni kosa. Matakwa hapa ni ya Kishari´ah:
يُرِيدُ اللَّـهُ أَن يُخَفِّفَ عَنكُمْ ۚ وَخُلِقَ الْإِنسَانُ ضَعِيفًا
“Allaah anataka kukukhafifishieni, kwani mtu ameumbwa dhaifu.” (04:28)
Ni matakwa ya Kishari´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340127.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2015
Swali: Ni matakwa yepi yanayokusudiwa katika maneno ya Allaah (Ta´ala):
إِنَّمَا يُرِيدُ اللَّـهُ لِيُذْهِبَ عَنكُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَيْتِ وَيُطَهِّرَكُمْ تَطْهِيرًا
“Hakika si venginevyo Allaah anataka akuondosheeni uchafu, enyi watu wa nyumba [ya Mtume] na akutwaharisheni mtwaharike barabara.”? (33:33)
Jibu: Hapana, ni kosa. Matakwa hapa ni ya Kishari´ah:
يُرِيدُ اللَّـهُ أَن يُخَفِّفَ عَنكُمْ ۚ وَخُلِقَ الْإِنسَانُ ضَعِيفًا
“Allaah anataka kukukhafifishieni, kwani mtu ameumbwa dhaifu.” (04:28)
Ni matakwa ya Kishari´ah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340127.mp3
Imechapishwa: 17/06/2015
https://firqatunnajia.com/vipi-allaah-anataka-kuitwaharisha-familia-ya-mtume/