Swali: Hukumu za vilivookotwa zinatumika katika nchi za makafiri?
Jibu: Ndio, kila mahali. Mali za makafiri katika nchi ambazo zina mikataba na nchi za waislamu ni zenye kuheshimiwa. Ni zenye kuheshimiwa na ni lazima zihifadhiwe kutokana na makubaliano.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 27/02/2022
Swali: Hukumu za vilivookotwa zinatumika katika nchi za makafiri?
Jibu: Ndio, kila mahali. Mali za makafiri katika nchi ambazo zina mikataba na nchi za waislamu ni zenye kuheshimiwa. Ni zenye kuheshimiwa na ni lazima zihifadhiwe kutokana na makubaliano.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
Imechapishwa: 27/02/2022
https://firqatunnajia.com/viokotwa-katika-nchi-za-makafiri/