Vibao vya Qur-aan ukutani


Swali: Ni ipi hukumu ya kutundika Aayah za Qur-aan ukutani?

Jibu: Ni jambo lisilotakikana. Pia isitoshe kitendo hicho kinapelekea katika kuzitweza pale ambapo ubao utaanguka ardhini, jengine ni kwamba kunaweza kuwa maasi mahala hapo palipo Qur-aan.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 21/11/2020