Vaa kama watu wa mji wako

Swali: Je, kuvaa kanzu inayovaliwa nchini mwetu kunazingatiwa kuwa ni kutafuta umashuhuri?

Jibu: Vaa vazi wanalovaa watu wa nchini mwako, muda wa kuwa halijaenda kinyume na Shari´ah. Ikiwa vazi lao linaenda sambamba na Shari´ah, basi vaa kama wao. Usivae vazi linaloenda kinyume na mavazi yao. Huko ni kutafuta kushuhurika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 03/07/2024