Anasafiri peke yake kutoka Uingereza kwenda Saudi Arabia

Swali: Mwanamke anauliza hukumu ya yeye kuhajiri peke yake kutoka Uingereza kwenda Saudi Arabia kwa sababu wazazi wake wameritadi katika Uislamu?

Jibu: Inafaa kwa mwanamke kusafiri peke yake ikiwa ni kwa ajili ya kuhajiri. Akilazimika kusafiri peke yake kwa lengo la kuhajiri tu, basi inafaa kwake kufanya hivo bila ya Mahram. Vinginevyo asisafiri isipokuwa awe pamoja na Mahram.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 03/07/2024