Swali: Kuna watu wanaodai kuwa wanaweza kujua utu wa mtu na ugonjwa alonao kwa kuangalia tu msitari anaopiga kwenye karatasi. Je, mtu amsadikishe mwenye kudai kujua hilo kwa sababu wameanza kuenea kwenye TV?
Jibu: Yote haya ni uvumi na uongo. Mtu hawezi kutambulika isipokuwa kupitia matendo yake na kutangamana naye na si kwa kuangalia tu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
- Imechapishwa: 18/06/2015
Swali: Kuna watu wanaodai kuwa wanaweza kujua utu wa mtu na ugonjwa alonao kwa kuangalia tu msitari anaopiga kwenye karatasi. Je, mtu amsadikishe mwenye kudai kujua hilo kwa sababu wameanza kuenea kwenye TV?
Jibu: Yote haya ni uvumi na uongo. Mtu hawezi kutambulika isipokuwa kupitia matendo yake na kutangamana naye na si kwa kuangalia tu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
Imechapishwa: 18/06/2015
https://firqatunnajia.com/utambuzi-wa-watu-kwa-kuwaangalia-tu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)