Swali: Je, kuna neno hapa katika nafasi hii la kujibu khatari ya kuleta makafiri au kwamba “lobi ya kimasoni” inazuia hilo?
Jibu: Ni wajibu juu ya waislamu kuleta waislamu. Aidha ni wajibu wao wasilete makafiri, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitoa wasia wa kuwatoa mayahudi na manaswara katika kisiwa hiki na akausia kuwatoa washirikina katika kisiwa hiki.
Kwa hiyo wajibu juu ya waislamu wote ni kutekeleza wasia huu na wasilete mfanyakazi wala mtumishi wala mwingine isipokuwa miongoni mwa waislamu. Huu ndio wajibu pia juu ya watawala katika kisiwa hiki, kwamba wasilete isipokuwa waislamu, isipokuwa pale panapokuwa na dharurah kubwa ya kuwepo kwake kwa kukosekana mbadala wake miongoni mwa waislamu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3444/حكم-استقدام-الكفرة-للعمل-في-بلاد-المسلمين
- Imechapishwa: 27/08/2026
Swali: Je, kuna neno hapa katika nafasi hii la kujibu khatari ya kuleta makafiri au kwamba “lobi ya kimasoni” inazuia hilo?
Jibu: Ni wajibu juu ya waislamu kuleta waislamu. Aidha ni wajibu wao wasilete makafiri, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitoa wasia wa kuwatoa mayahudi na manaswara katika kisiwa hiki na akausia kuwatoa washirikina katika kisiwa hiki.
Kwa hiyo wajibu juu ya waislamu wote ni kutekeleza wasia huu na wasilete mfanyakazi wala mtumishi wala mwingine isipokuwa miongoni mwa waislamu. Huu ndio wajibu pia juu ya watawala katika kisiwa hiki, kwamba wasilete isipokuwa waislamu, isipokuwa pale panapokuwa na dharurah kubwa ya kuwepo kwake kwa kukosekana mbadala wake miongoni mwa waislamu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3444/حكم-استقدام-الكفرة-للعمل-في-بلاد-المسلمين
Imechapishwa: 27/08/2026
https://firqatunnajia.com/usitumie-mfanyakazi-kafiri-isipokuwa-kwa-dharurah-tu/