Swali: Daktari mwingereza anayefuata dini ya ukristo. Amefanya upasuaji kwa mama wa baadhi ya familia ambapo wakamshukuru katika baadhi ya magazeti kwa kufanikiwa kwa upasuaji huo. Je, inajuzu kumshukuru daktari kama huyo au daktari yeyote hata kama ni muislamu?
Jibu: Kumshukuru aliyefanya wema ni jambo jema:
”Hamtamshukuru Allaah asiyewashukuru watu.”
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Atakayekufanyieni wema, basi mlipeni. Msipopata cha kumlipa, basi muombeeni du´aa.”
Maana yake ni kwamba hapana vibaya akishukuriwa kwa kufanikiwa upasuaji. Ni mamoja awe kafiri au muislamu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3449/حكم-شكر-طبيب-مسيحي-نجح-في-اجراء-عملية
- Imechapishwa: 27/08/2026
Swali: Daktari mwingereza anayefuata dini ya ukristo. Amefanya upasuaji kwa mama wa baadhi ya familia ambapo wakamshukuru katika baadhi ya magazeti kwa kufanikiwa kwa upasuaji huo. Je, inajuzu kumshukuru daktari kama huyo au daktari yeyote hata kama ni muislamu?
Jibu: Kumshukuru aliyefanya wema ni jambo jema:
”Hamtamshukuru Allaah asiyewashukuru watu.”
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Atakayekufanyieni wema, basi mlipeni. Msipopata cha kumlipa, basi muombeeni du´aa.”
Maana yake ni kwamba hapana vibaya akishukuriwa kwa kufanikiwa upasuaji. Ni mamoja awe kafiri au muislamu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3449/حكم-شكر-طبيب-مسيحي-نجح-في-اجراء-عملية
Imechapishwa: 27/08/2026
https://firqatunnajia.com/kumshukuru-kafiri-hadharani-kwa-wema-alokufanyia/