Swali: Niliswali nyuma ya imamu na kisha baadae nikabainikiwa ya kwamba anafuata madhehebu ya Ash´ariy. Je, ni lazima kurudi swalah yangu?
Jibu: Hapana, sio wajibu kurudi swalah yako. Lakini wakati mwingine nenda kwa imamu asiyekuwa Ash´ariyyah. Nenda kwa imamu katika Ahl-us-Sunnah. Uliyotangulia kuswali ni sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-16.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Niliswali nyuma ya imamu na kisha baadae nikabainikiwa ya kwamba anafuata madhehebu ya Ash´ariy. Je, ni lazima kurudi swalah yangu?
Jibu: Hapana, sio wajibu kurudi swalah yako. Lakini wakati mwingine nenda kwa imamu asiyekuwa Ash´ariyyah. Nenda kwa imamu katika Ahl-us-Sunnah. Uliyotangulia kuswali ni sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-16.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/usiswali-nyuma-ya-imamu-ashariy/