al-Fawzaan kuhusu ´Mashaa Allaah` na ´Tabaarak Allaah`   

Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:

وَلَوْلَا إِذْ دَخَلْتَ جَنَّتَكَ قُلْتَ مَا شَاءَ اللَّـهُ لَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللَّـهِ

“Na lau ulipoingia bustanini mwako ungelisema: ‘Ametaka Allaah, hapana nguvu isipokuwa kwa msaada wa Allaah´.” (18:39)

Je, Aayah hii ni dalili ya kuonyesha kuwa yule mwenye kuona kitu kizuri chenye kumpendeza aseme “Mashaa Allaah”?

Jibu: Ndio. Hii ni Sunnah aseme “Mashaa Allaah”, “Tabaarak Allaah”.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-16.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020