Swali: Ni ipi hukumu ya kufuta uso kwa mikono miwili baada ya mtu kumaliza kuomba du´aa?

Jibu: Haikuthibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hivyo kuacha kufanya hivo ni bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/10/2018