Usimwambie mkeo ”dada yangu” wala ”binti yangu”

Swali: Je, inafaa kwa mume kumwambia mke wake ”ee dada” au ”ee msichana wangu”?

Jibu: Inachukiza. Inachukiza kusema hivo kwa njia ya heshima, kwa sababu haifai akamfananisha na wale ambao wameharamishwa kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 12/05/2023