Mjane kulipa kodi ya nyumba

Swali: Imetangulia ya kwamba mwanamke aliyefiwa na mume wake hana haki ya makazi, pamoja na kwamba ameamrishwa kukaa eda katika nyumba ya mume wake. Je, hiyo ina maana kuwa akikaa eda nyumbani kwa mume yeye ndiye atatakiwa kulipa kodi ya nyumba?

Jibu: Ndio. Atalipa kutoka katika mirathi yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 12/05/2023