Swali: Mposaji anaweza kumuomba mwanamke ambaye anataka kumposa kuacha kufanya kazi?
Jibu: Mposaji hana usimamizi wowote juu yake. Hata hivyo, asimuoe ikiwa kama anafanya kazi nje ya nyumbani. Haijuzu kwako kumposa na kumuoa ikiwa anfanya kazi nje ya nyumbani kwake.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (174)
- Imechapishwa: 21/09/2020
Swali: Mposaji anaweza kumuomba mwanamke ambaye anataka kumposa kuacha kufanya kazi?
Jibu: Mposaji hana usimamizi wowote juu yake. Hata hivyo, asimuoe ikiwa kama anafanya kazi nje ya nyumbani. Haijuzu kwako kumposa na kumuoa ikiwa anfanya kazi nje ya nyumbani kwake.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (174)
Imechapishwa: 21/09/2020
https://firqatunnajia.com/usimuoe-mwanamke-mpaka-aache-kufanya-kazi/