Swali: Je, sifa ya kusikia na kuona kwa Allaah imefungamana na matakwa?

Jibu: Hapana, ni sifa za dhati. Usikizi na uoni ni katika sifa za dhati. Vilevile mkono na mguu zote hizi ni katika sifa za dhati. Aidha uso ni katika sifa za dhati. Sifa zinazofungamana na matakwa ni kama vile ghadhabu, kuridhia na uumbaji. Zote hizi ni sifa zilizofungamana na matakwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23427/هل-تتعلق-صفتا-السمع-والبصر-لله-بالمشيىة
  • Imechapishwa: 19/01/2024