Swali: Je, inajuzu kumsengenya kafiri?
Jibu: Katika yale aliyoyaonyesha wazi, inaruhusiwa kumsema kwa yale aliyoyaonyesha wazi ya ukafiri wake. Inaweza kusemwa kwamba fulani alifanya hivi na hivi, ndiyo. Bali huenda ikawa ni wajibu inapohitajika kufanya hivyo ili atekelezewe hukumu ya kidini kama kutakiwa atubu au kuuawa.
Kadhalika fasiki katika yale aliyoyaonyesha wazi ya uovu wake, hana usengenyi katika yale anayoyaanika wazi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3354/حكم-غيبة-الكافر
- Imechapishwa: 15/08/2026
Swali: Je, inajuzu kumsengenya kafiri?
Jibu: Katika yale aliyoyaonyesha wazi, inaruhusiwa kumsema kwa yale aliyoyaonyesha wazi ya ukafiri wake. Inaweza kusemwa kwamba fulani alifanya hivi na hivi, ndiyo. Bali huenda ikawa ni wajibu inapohitajika kufanya hivyo ili atekelezewe hukumu ya kidini kama kutakiwa atubu au kuuawa.
Kadhalika fasiki katika yale aliyoyaonyesha wazi ya uovu wake, hana usengenyi katika yale anayoyaanika wazi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3354/حكم-غيبة-الكافر
Imechapishwa: 15/08/2026
https://firqatunnajia.com/usengenyi-kwa-kafiri/