Swali: Imamu akiswali kuelekea Qiblah na maamuma wakatofautiana kwa kiasi kidogo.

Jibu: Kasoro kidogo haidhuru. Upindaji kidogo unasamehewa. Hilo ni kwa imamu na maamuma.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23578/حكم-اختلاف-الماموم-قليلا-في-القبلة-عن-الامام
  • Imechapishwa: 16/02/2024