Swali: Nimepewa mtihani wa kutokwa sana na upepo na khaswa wakati wa swaah. Ni ipi hukumu ya swalah?
Jibu: Swalah yake ni sahihi. Lakini hata hivyo asitawadhe isipokuwa anapotaka kuswali. Aendee kuswali hata kama atatokwa na kitu. Hawezi jengine zaidi ya hilo. Huyu hadathi yake ni yenye kuendelea.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Nimepewa mtihani wa kutokwa sana na upepo na khaswa wakati wa swaah. Ni ipi hukumu ya swalah?
Jibu: Swalah yake ni sahihi. Lakini hata hivyo asitawadhe isipokuwa anapotaka kuswali. Aendee kuswali hata kama atatokwa na kitu. Hawezi jengine zaidi ya hilo. Huyu hadathi yake ni yenye kuendelea.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/upepo-wenye-kuendelea-ndani-ya-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)