Unapoweza kuuliza Qiblah kisha ukafanya uzembe

Swali: Akikosea Qiblah ndani ya mji?

Jibu: Hapana, si sawa. Atakuwa ni mzembe katika mji. Anatakiwa kuilipa, kwa sababu ndani ya mji anaweza kuuliza. Kuna watu anaoweza kuwauliza kilipo Qiblah. Pia kuna misikiti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23601/حكم-التفريط-في-تحري-القبلة-بالمدينة
  • Imechapishwa: 23/02/2024