Swali: Afanye nini mtu akialikwa na mtu nyumbani kwake na akakuta picha?
Jibu: Ikiwa imetundikwa ajizuilie na asiingie ndani isipokuwa ikiwa kama ni yenye kutwezwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24125/ما-يفعل-من-وجد-صورا-في-بيت-من-دعاه
- Imechapishwa: 03/09/2024
Swali: Afanye nini mtu akialikwa na mtu nyumbani kwake na akakuta picha?
Jibu: Ikiwa imetundikwa ajizuilie na asiingie ndani isipokuwa ikiwa kama ni yenye kutwezwa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24125/ما-يفعل-من-وجد-صورا-في-بيت-من-دعاه
Imechapishwa: 03/09/2024
https://firqatunnajia.com/unapoalikwa-ndani-ya-nyumba-yenye-picha-zilizotundikwa/