Swali: Wakati muadhini alipokuwa anaadhini umeme ulikatika. Alipomaliza tu kuadhini umeme ukarudi. Je, airudie adhaana kwenye kipaza sauti au inatosha ile adhaana yake ya kwanza aliyotoa?
Jibu: Inatosha ile adhaana yake ya kwanza. Hakuna haja ya kuirudia. Watu wamesikia adhaana ya misikiti mingine ilio karibu. Lakini kama itakuwa ndio msikiti pekee na hakuna misikiti mingine pembezoni mwake, basi katika hali hiyo anaweza kuirudia ili watu waweze kujua kuwa muda wa swalah umeshaingia.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/198)
- Imechapishwa: 02/05/2026
Swali: Wakati muadhini alipokuwa anaadhini umeme ulikatika. Alipomaliza tu kuadhini umeme ukarudi. Je, airudie adhaana kwenye kipaza sauti au inatosha ile adhaana yake ya kwanza aliyotoa?
Jibu: Inatosha ile adhaana yake ya kwanza. Hakuna haja ya kuirudia. Watu wamesikia adhaana ya misikiti mingine ilio karibu. Lakini kama itakuwa ndio msikiti pekee na hakuna misikiti mingine pembezoni mwake, basi katika hali hiyo anaweza kuirudia ili watu waweze kujua kuwa muda wa swalah umeshaingia.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/198)
Imechapishwa: 02/05/2026
https://firqatunnajia.com/umeme-umekatika-wakati-alipokuwa-anatoa-adhaana/