Swali: Je, ´Aqiydah ya Khawaarij ni Salafiyyah katika Tawhiyd-ul-´Ibaadah na Tawhiyd-ul-Asmaa´ was-Swifaat?
Jibu: Ndugu! Usiulize juu ya hili. Achana na Khawaarij. Allaah Amekusalimisha nao. Baadhi ya wanachuoni wanaonelea kuwa Khawaarij ni makafiri na wengine wanaonelea kuwa ni wapotevu. Sisi hatuingii katika mambo haya.
Ikiwa unataka kheri uliza ´Aqiydah ya Salaf na usiulize ´Aqiydah ya Khawaarij. Uliza ´Aqiydah ya Khawaarij ili uweze kuifuata.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf-14-08-1433.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Swali: Je, ´Aqiydah ya Khawaarij ni Salafiyyah katika Tawhiyd-ul-´Ibaadah na Tawhiyd-ul-Asmaa´ was-Swifaat?
Jibu: Ndugu! Usiulize juu ya hili. Achana na Khawaarij. Allaah Amekusalimisha nao. Baadhi ya wanachuoni wanaonelea kuwa Khawaarij ni makafiri na wengine wanaonelea kuwa ni wapotevu. Sisi hatuingii katika mambo haya.
Ikiwa unataka kheri uliza ´Aqiydah ya Salaf na usiulize ´Aqiydah ya Khawaarij. Uliza ´Aqiydah ya Khawaarij ili uweze kuifuata.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf-14-08-1433.mp3
Imechapishwa: 15/06/2015
https://firqatunnajia.com/uliza-aqiydah-ya-salaf-na-usiulize-aqiydah-ya-khawaarij/